Loading...

HEWA CHAFU KUKITHIRI CHINA

Loading...
Mji mkuu wa China,Beijing umekumbwa na mchafuko mkubwa wa hali ya hewa.

Kwa mujibu wa habari,hali hiyo ya hewa itaendelea hivyo kwa muda wa siku moja.

Mamlaka yametoa onyo kwa wananchi kutotoka nje bila kuwa na dharura.

Wananchi wameonakana wakitembea barabarani wakiwa wamevaa mask ili kuzuia kupumua hewa chafu mjini Beijing.

Sehemu nyingi za mji mkuu nchini China ni chafu zaidi duniani.
Na Fatma Pembe.


Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za kimataifa punde zinapojiri.
HEWA CHAFU KUKITHIRI CHINA HEWA CHAFU KUKITHIRI CHINA Reviewed by By News Reporter on 3/28/2018 08:52:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.