Loading...

JE WEMA NA DIAMOND WAKO MBIONI KURUDIANA?

Loading...
Ikiwa ni majuma kadhaa kupita tangu Wema na Diamond waonekane wakikumbatiana hadharani, wakiwa katika utambulisho wa msanii Marombosso kama msanii mpya katika lebo ya WCB.
Na baadae Wema alipohojiwa kuhusu hilo alikanusha na kudai ni kawaida wala hakuna chochote kinachoendelea na pia Daimond kwa sasa ni bosi wake.

Hivi karibuni Diamond akihojiwa katika kipindi kimoja cha radio hapa nchini, amefunguka na kusema akiwa na Wema anafanikiwa ukilinganisha na wanawake wengine.

Na kabla ya kwenda mbali zaidi pia Wema naye kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost Ua la Uwaridi jekundu linalomaanisha ishara ya upendo uliochepuka na kustawi vizuri.
Je kwa matukio hayo kama inaonekana wapenzi hao wa zamani wanaopendeza kwa muda si ndio wanarudiana?
Na Neema Joshua - Dar es salaam.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
JE WEMA NA DIAMOND WAKO MBIONI KURUDIANA? JE WEMA NA DIAMOND WAKO MBIONI KURUDIANA? Reviewed by By News Reporter on 3/20/2018 08:00:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.