Loading...
Kesi ya mauaji ya msanii Mowzey Radio imehairishwa mpaka Machi 19. Mshukiwa mkuu, Godfrey Wamala aka Troy amerudishwa tena mahabusu.
Mahakamani alifika mama mzazi wa msanii huyo aliyeuawa majuma kadhaa yaliyopita, kwa jina ni Jane Kasubo ambaye alisindikizwa na ndugu ndugu na marafiki ili kuhudhuria katika kesi hiyo.
Mapema mwezi ya mwezi huu, Godfrey Wamala alifikishwa mbele ya mahakama ya Entebe na alisomewa shtaka la mauaji.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
KESI YA MAUAJI YA MSANII RADIO KUSIKILIZWA TENA MACHI 19
Reviewed by By News Reporter
on
3/01/2018 06:50:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: