Loading...

KUMI (10) BORA YA WANAWAKE WAREFU DUNIANI

Loading...
Urefu wa juu zaidi inaonekana kama bahati na kigezo cha kumuongezea mtu uzuri. Ijapokuwa, kwa baadhi ya watu inaweza ikawa ni tatizo hasa pale unapoongelea swala la mavazi (viatu), maswala ya kiafya na vitu wanashindwa kuvifurahia kutokana na kimo chao.

Kuna watu hufariki kwa ajili ya urefu wao wakati wanafurahia uzuri kutokana na urefu wao. Kwa wanaopenda michezo na mitindo, urefu ni kitu cha kipaumbele. Hapa tunakuletea orodha ya wanawake warefu duniani.
10. Heather Greene ( futi 6, inchi 5.5)
9. Rita Miniva Besa ( futi 6, inchi 8)
8. Caroline Welz ( futi 6, inchi 9)
7. Malee Duangdee ( futi 6, inchi 10)
6. Gitika Srivastava ( futi 6, inchi 11)
5. Uljana Semjonova ( futi 7)
4. Zainab Bibi ( futi 7, inchi 2)
3. Malgorzata Dydek ( futi 7, inchi 2)
2. Sandy Allen ( futi 7, inchi 7.5)
1. Yao Defen ( futi 7, inchi 8)

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
KUMI (10) BORA YA WANAWAKE WAREFU DUNIANI KUMI (10) BORA YA WANAWAKE WAREFU DUNIANI Reviewed by By News Reporter on 3/01/2018 11:30:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.