Loading...

LUPITA NYONG'O AFADHILI WATOTO 600 WA SHULE HUKO KISUMU KUANGALIA 'BLACK PANTHER'

Loading...
Muigizaji maarufu wa kike Mkenya, Lupita Nyong'o alishiriki kuandaa #Shindano la Black Panther ambalo linampango wa kuwadhamini watoto wadogo wa shule za msingi kuweza kutazama filamu inayoshika kasi yenye maadhi ya Kiafrika inayokwenda kwa jina la 'BLACK PANTHER'.

Watoto hao 600 wataweza kutazama filamu hiyo huko nyumbani kwao anapoishi, Kisumu Kenya kwa msaada wa wazazi wao kuweza kuwafikisha ukumbi wa sinema.

Lupita alisema "Ninataka watoto kutoka nyumbani kwetu kuona waweze kupata picha kwa kile wanachokiona na kujifananisha mashujaa ndani ya filamu ile ambayo wataiona katika kioo kikubwa".

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
LUPITA NYONG'O AFADHILI WATOTO 600 WA SHULE HUKO KISUMU KUANGALIA 'BLACK PANTHER' LUPITA NYONG'O AFADHILI WATOTO 600 WA SHULE HUKO KISUMU KUANGALIA 'BLACK PANTHER' Reviewed by By News Reporter on 3/01/2018 08:12:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.