Loading...
Mwimbaji mkongwe, Toni Braxton, 50, amethibitisha kuvishwa pete ya uchumba na rappa mkongwe, Birdman, 49. Akionyesha pete yake hiyo ya dhahabu akiwa katika mahojiana na kipindi cha "Loose Women" kwenye Televisheni ya ITV1.
Nyota wa nyimbo ya 'The Unbreak My Heart' alimmwagia sifa mpenzi wake kwa kumvisha pete na alisema: "Amefanya vizuri kuchukua uamuzi huo."
Na kitendo hicho kinaonyesha dalili ya ndoa inanukia na huwenda ikawa mapema sana kutoka na umri wa mastaa kwenda mbali zaidi.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
MKONGWE TONI BRAXTON AVISHWA PETE NA RAPPA BIRDMAN
Reviewed by By News Reporter
on
3/01/2018 08:30:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: