Loading...

MAELFU YA RAIA KUTOKA DRC KONGO WAINGIA UGANDA KUKIMBIA MAPIGANO

Loading...
Zaidi ya wakazi 4000 wa DRC wamevuka kuelekea Uganda ndani ya siku tatu wakikimbia machafuko na manyanyaso ya kijinsia .

Ripoti hiyo imetolewa na Umoja wa Mataifa.

Ripoti hiyo imeonyesha kuwa wakazi wa Ituri na Kivu Kaskazini wamekuwa wakivuka mpaka toka Machi 10-13 na maelfu wataendelea kuvuka kuendelea kama hali hiyo haitashughulikiwa.

.Machafuko nchini DRC yamefanya watu zaidi 57,000 wayahame  makazi yao toka mwanzoni mwa mwaka.

Kibaya zaidi ni kwamba asilimia 77.5 ya wakimbizi hao ni wanawake na watoto.

Wengi wao huvuka kuelekea Uganda kupitia ziwa Albert.

Wakimbizi wengi wamepoteza maisha yao wakiwa wanavuka.
Na Hamis Shakhi - Burundi.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za Afrika punde zinapojiri.
MAELFU YA RAIA KUTOKA DRC KONGO WAINGIA UGANDA KUKIMBIA MAPIGANO MAELFU YA RAIA KUTOKA DRC KONGO WAINGIA UGANDA KUKIMBIA MAPIGANO Reviewed by By News Reporter on 3/18/2018 11:40:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.