Loading...

MAPACHA WAKAMATWA KWA KUFANYIANA MITIHANI

Loading...
Mapacha wawili wanaofanana, walikatwa kwa tuhuma za kufanyiana mtihani wa nusu temu, katika Chuo Kikuu cha Maiduguri Centre, Borno, Nigeria jana Machi 10.

Ndugu hao wote wakiume wanaofanana waliwafanyia ujanja wasimamizi na walinzi ili wawezi kupata ruhusu ya kuingia katika chumba cha mtihani. Huku mmoja akijaribu kumfanyia mtihani mwenzake.

Mmoja wa mapacha hao, Hussain Andulhammeed, alikamtwa katika vipimo vya usajili wa biometrikia lakini mwenzake, Hassan, alitumia fursa hiyo kwa kuwa wanafanana na kuanza kumfanyia mtihani mwenzake.

Iliripotiwa na wasimamizi.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za Afrika punde zinapojiri.
MAPACHA WAKAMATWA KWA KUFANYIANA MITIHANI MAPACHA WAKAMATWA KWA KUFANYIANA MITIHANI Reviewed by By News Reporter on 3/11/2018 11:46:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.