Loading...

MARIAH CAREY NA MPENZI WAKE WA ZAMANI WAUNGANA KUWAUNGA MKONO WATOTO WAO KWENYE TUZO ZA KIDS' CHOICE

Loading...
Mariah Carey, 48 na Nick Cannon, 37, waungana kwa pamoja wakionekana kuvaa kwa mtindo wa kipekee kwa nia ya kuwaunga mkono watoto wao mapacha Moroccan na Monroe wenye umri wa miaka 6 katika tuzo za Kids' Choice huko Forum, mji wa Inglewood, jimbo la Califonia siku ya Jumamosi.

Familia hiyo ya kupendeza walionekana kwa pamoja kwenye picha ya kupendeza huku wakiwa huku wakiwa wamevalia mavazi kwa mtindo wakipekee mtoto mmoja akifanana mavazi na baba yake na mwingine mama yake. Angalia picha zaidi...
Na Peter Godwin.


Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
MARIAH CAREY NA MPENZI WAKE WA ZAMANI WAUNGANA KUWAUNGA MKONO WATOTO WAO KWENYE TUZO ZA KIDS' CHOICE MARIAH CAREY NA MPENZI WAKE WA ZAMANI WAUNGANA KUWAUNGA MKONO WATOTO WAO KWENYE TUZO ZA KIDS' CHOICE Reviewed by By News Reporter on 3/25/2018 01:26:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.