Loading...

MBUGA ZA WANYAMA KUMI (10) BORA DUNIANI - SERENGETI YASHIKA NAFASI YA TATU (3)

Loading...
Uwepo wa mbuga za wanyama inatukumbusha historia ya nyuma ya maisha yetu kwamba binadamu na wanyama walikuwa wakiishi kwa pamoja na maisha sawa.

Ni kupitia maisha ya wanyama pori ndio kishiria pekee kwamba tulikuwa tukiishi huko nyuma na wanyama hao, na hifadhi zinatudai haki ya kuzitunza ili tudumishe historia hiyo na si vyema kufanya ujangili unaoendelea katika mbuga hizo.

Tunakuletea kumi bora ya mbuga au hifadhi dunia, na hifadhi ya wanyama ya Serengeti imekuwa nafasi ya tatu.
10. BANDHAVGARH NATIONAL PARK - India
9. KHAO SOK WILDLIFE RESERVE - Thailand
8. MADIKWE GAME RESERVE - South Africa
7. AMAZON RAINFOREST AND WILDLIFE RESERVE - Amazon
6. MASAI MARA GAME RESERVE - Kenya
5. KAFUE NATIONAL RESERVE - Zambia
4. GRAND TETON NATIONAL PARK - USA
3. SERENGETI NATIONAL RESERVE - Tanzania
2. YELLOWSTONE NATIONAL PARK AND RESERVE - USA
1. BIALOWIEZA NATIONAL RESERVE - Poland

Tuma neno 'UTALII' kwenda +255765112259 kupata habari za utalii punde zinapojiri.
MBUGA ZA WANYAMA KUMI (10) BORA DUNIANI - SERENGETI YASHIKA NAFASI YA TATU (3) MBUGA ZA WANYAMA KUMI (10) BORA DUNIANI - SERENGETI YASHIKA NAFASI YA TATU (3) Reviewed by By News Reporter on 3/04/2018 09:42:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.