Loading...

MNENGUAJI 'ZODWA WABANTU' WA SOUTH AFRIKA AZUA GUMZO MTANDAONI

Loading...
 Mnenguaji na video vixen maarufu nchini Afrika Kusini, Zodwa Wabantu ambaye alizuiliwa nchini Zambia kutumbuiza kutokana kupingana na maadili ya nchi hiyo kwa mtindo wake wa kunengua bila ya chupi, ameonekana akiwa mtupu katika maandalizi ya video mpya ya muziki.

Zodwa alionekana akiwa amevaa vijikamba kamba mwilini mwaka huku sehemu kubwa ya mwili ikionekana. Akirusha picha zake katika ukurasa wake wa instagram aliandika: "Yeye anachotaka ni pesa tu na wala ajali nini inahitaji kutoka kwake".

Picha zaidi....


Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
MNENGUAJI 'ZODWA WABANTU' WA SOUTH AFRIKA AZUA GUMZO MTANDAONI MNENGUAJI 'ZODWA WABANTU' WA SOUTH AFRIKA AZUA GUMZO MTANDAONI Reviewed by By News Reporter on 3/16/2018 05:05:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.