Loading...

MAANDAMANO YA GHASIA YAZUKA JIJINI ATHENS NCHINI UGIRIKI

Loading...
Takriban watu 5  wameripotiwa kujeruhiwa nchini Ugiriki baada ya makabiliano baina ya waandamanaji wenyee hasira na polisi kuzuka .

Maandamano hayo yalitokea jijini Athens .

Maandamano hayo yameanzishwa baada ya serikali ya Ugiriki kutoa uamuzi wa kuuza mali za wananchi waliokuwa na madeni ya serikali.

Waandamanaji hao walikusanyika mbele ya ofisi za serikali za masuala hayo jijini humo.


Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za kimataifa punde zinapojiri.
MAANDAMANO YA GHASIA YAZUKA JIJINI ATHENS NCHINI UGIRIKI MAANDAMANO YA GHASIA YAZUKA JIJINI ATHENS NCHINI UGIRIKI Reviewed by By News Reporter on 3/16/2018 05:15:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.