Loading...

MOTO ULIOZUKA KATIKA NYUMBA WAUA WATU WANNE WA FAMILIA MOJA

Loading...
Watu wanne wa familia moja wamekufa kwa ajali ya moto baada ya nyumba waliyokuwa wamelala kushika moto.

Tukio hilo lilitokea siku ya Jumapili, Machi 11, katika kijiji cha Magwira huko Chalinze.

Chanzo cha moto huo hakija julikana hadi sasa.

Akizungumza na gazeti moja hapa nchini, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Bw Jonathana Shanna amesema uchunguzi wa wa tukio hilo bado unaendelea.

"Tunafuatilia taarifa zote ili kukamilisha uchunguzi," Alisema.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za kitaifa punde zinapojiri.
MOTO ULIOZUKA KATIKA NYUMBA WAUA WATU WANNE WA FAMILIA MOJA MOTO ULIOZUKA KATIKA NYUMBA WAUA WATU WANNE WA FAMILIA MOJA Reviewed by By News Reporter on 3/12/2018 06:39:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.