Loading...

MUGABE AITUPIA LAWAMA AFRIKA KUSINI

Loading...
Robert Mugabe aliekuwa rais wa Zimbabwe aliitupia lawama Afrika Kusini kwa kutoingilia kati kutolewa kwake madarakani  Novemba mwaka 2017. 

Rais Mugabe ametupia lawala Afrika Kusini baada ya kuondolewa madarakani  na jeshi kwa kusema kuwa Afrika Kusini ingeingilia kati kuzuia jambo hilo. 

Taarifa hiyo imetolewa Jumamosi ambapo inafahamishwa kuwa hayo Robert Mugabe aliyazungumza katika hotuba aliotoa mwanzoni mwa Juma mjini Harare. 

Kulingana na taarifa ni kwamba Mugabe alisema kuwa Afrika Kusini haikupaswa kuombwa kutuma jeshi lake kuokoa utawala wake bali Afrika Kusini ingeingilia kati  kalingana na uwezo wake.
Na Geofrey Okechi.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za Afrika punde zinapojiri.
MUGABE AITUPIA LAWAMA AFRIKA KUSINI MUGABE AITUPIA LAWAMA AFRIKA KUSINI Reviewed by By News Reporter on 3/25/2018 10:11:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.