Loading...

PICHA YA MWANAMITINDO WA KINYARWANDA ILIYOZUA GUMZO MITANDAONI.

Loading...
Picha iliyopigwa na mke wa Benitha huko nchini Rwanda imezua gumzo katika mitandao ya kijamii mpaka kufikia wasanii wakubwa kutoka nchini Nigeria kuiongelea picha hiyo, ambayo mwanadada alionekana akiwa mtupu.

Wiki hii inayoisha huko nchini Rwanda mpiga picha maarufu kwa jina la Umulisa Benitha, ambaye alikuwa mpenzi wa Lil G, ambaye ndio aliyeonekana katika picha iliyozua gumzo huko mitandaoni.

Lil G alionekana akiwa nusu uchu kwa kuziba matiti yake kwa mikono yake miwili tu, watu wengi waliizungumzia picha kupitia mitandao ya kijamii huku kila mmoja akiwa na mawazo tofauti na wengine walisema hiyo picha haikuwa kwa ajili ya watu wa Rwanda.

Baada ya yote kuzungumzwa Mke wa Benitha alifunguka na kusema, picha hiyo ilitoka kimakosa haikuwa rasmi.

Jumamosi ya Jana, aliibuka msanii kutoka Nigeria kwa jina la MCGallaxy ambaye vibao kadhaa vilivyotamba nchini Nigeria kama Kiss kiss, Kese, Nek-Unek na akishirikiana wasanii kama Davido, aliuliza nani amemtengeneza msichana huyu mzuri?
Na Hamis Fakhi - Rwanda


Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
PICHA YA MWANAMITINDO WA KINYARWANDA ILIYOZUA GUMZO MITANDAONI. PICHA YA MWANAMITINDO WA KINYARWANDA ILIYOZUA GUMZO MITANDAONI. Reviewed by By News Reporter on 3/25/2018 09:57:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.