Loading...
Ni lazima tukubali kuruhusu MABADILIKO katika maisha yetu ili tuweze kupata nafasi ya kutoka sehemu tuliyopo kwenda sehemu nyingine kimafanikio. Ninatambua SI RAHISI kuruhusu mabadiliko hasa katika mambo ambayo umeyazoea kwa muda mrefu lakini natambua pia ni jambo LINALOWEZEKANA ukiamua kufanya hivyo.
Kwa kuwa hatua mpya zinakuja baada ya kuruhusu mabadiliko basi hatuna budi kufanya hivyo ili kujitengenezea maisha ya mafanikio.
Kuna mambo mengi sana ambayo kila mtu anatakiwa kuyabadili, jaribu kuangalia chochote kile ambacho hakikusaidii kusonga mbele kisha uamue kukibadili. Yawezekana ikawa TABIA ZAKO, MAWAZO YAKO, MARAFIKI, MAHUSIANO, KAZI YAKO ama chochote kile ambacho ni kikwazo kwako na kimekuwa kikikurudisha nyuma.
Gharama ya mafanikio yako ni kuruhusu kukipoteza hicho ulichokuwa umekizoea kwa muda mrefu ukiona kinakufaa lakini kiuhalisia kinakurudisha nyuma kimafanikio.
You Deserve The Best!
Vicent Stephen
Tuma neno 'SIRI YA UTAJIRI' kwenda +255765112259 kupata muendelezo wa makala za utajiri punde zinapojiri.

NI LAZIMA TUKUBALI MABADILIKO KATIKA MAISHA YETU - Na Siri ya Utajiri.
Reviewed by By News Reporter
on
3/31/2018 05:10:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: