Loading...

OPRAH WINFREY: SIWEZI KUMILIKI MTOTO KWA SABABU SIO MAMA BORA

Loading...
Bilionea katika tasnia ya habari, Oprah Winfrey (64) amesema hakuwahi kumiliki mtoto kwa sababu hana asili ya umama. Alisema anaamini hawezi kuwa mama bora kwa sababu hawezi kuwasiliana na yoyote asiyeweza kusema.

Oprah alifungunga uamuzi wake huo wa kuamua kutokuwa na mtoto alipokuwa kuwa akifanyiwa mahojiano na Gwneth Paltrow katika episode ya kwanza ya "The Goop" podcast.

Oprah alimwambia Paltrow hawezi kamwe kuwakuza watoto wawili kama Paltrow alivyofanya kwa sababu kuwaleo watoto ni inaumiza na kuchanganya sana kichwa.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
OPRAH WINFREY: SIWEZI KUMILIKI MTOTO KWA SABABU SIO MAMA BORA OPRAH WINFREY: SIWEZI KUMILIKI MTOTO KWA SABABU SIO MAMA BORA Reviewed by By News Reporter on 3/11/2018 10:47:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.