Loading...

RAIS WA KOREA KUSINI ASIFIA HATUA YA MAREKANI KUKUTANA NA KIM JONG-UN

Loading...
Rais wa Korea Kusini Moon Jae In amesifu hatua ya viongozi wa Korea Kaskazini na Marekani kukutana.

Moon amesema kuwa kitendo cha Kim na Trump kutaka kufanya mazungumzo ni hatua nzuri ya mapatano.

Ameongeza kwa kusema kuwa mapatano kati ya Marekani na Korea Kaskazini hayatanufaisha mataifa hayo mawili peke yake,bali yatakuwa ni faida kwa ulimwengu mzima.

Kim Jong Un na Donald Trump wanatarajia kukutana mwezi Mei.

Moon ana tumai makubaliano ya amani yatafikiwa.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za kimataifa punde zinapojiri.
RAIS WA KOREA KUSINI ASIFIA HATUA YA MAREKANI KUKUTANA NA KIM JONG-UN RAIS WA KOREA KUSINI ASIFIA HATUA YA MAREKANI KUKUTANA NA KIM JONG-UN Reviewed by By News Reporter on 3/10/2018 05:03:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.