Loading...

HII NDIO MIJI HATARI ZAIDI DUNIANI

Loading...
Halmashauri ya Mahakama ya Jinai ya Usalama wa Umma huko Mexico imetangaza miji 50 ya hatari zaidi duniani mwaka 2017.

Kati ya miji 50 hatari zaidi kwenye orodha, 42 imeonekana kuwa katika Amerika ya Kusini.

Miji 17 imeonekana kutoka Brazili, 12 kutoka Mexico, 5 kutoka Venezuela, Colombia 3, 2 kutoka Honduras, El Salvador, Guatemala na Puerto Rico.

Orodha hiyo imeandaliwa na uwiano wa mauaji huku mji wa Los Cabos Mexico ukionekana kuwa hatari zaidi kwani watu 112 kati ya kila 100,000 walikwa wakiiuawa mwaka 2017.

Mji wa Acapulo ulifuatia kwa kiwango cha mauaji ya watu 106 kati ya 100,000.

Miji 10 ya hatari zaidi ulimwenguni imeorodheshwa kama ifuatavyo:

Los Cabos (Mexico), Caracas (Venezuela), Acapulco (Mexico), Natal (Brazil), Tijuana (Mexico), La Paz (Mexico), Fortaleza (Brazil), Victoria (Mexico), Guayana (Venezuela), Belem (Brazil ).

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za kimataifa punde zinapojiri.
HII NDIO MIJI HATARI ZAIDI DUNIANI HII NDIO MIJI HATARI ZAIDI DUNIANI Reviewed by By News Reporter on 3/11/2018 09:05:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.