Loading...

WAHAMIAJI HARAMU 237 WAOKOLEWA KATIKA FUKWE ZA LIBYA

Loading...
Kikosi cha wanamaji nchini Libya kimetaarifu kuwaokoa wahamiaji haramu 237 katika fukwe za Ez Zaviye wakiwa katika mashua katika bahari ya Mediterania.

Kikosi hicho kilfaulu kuwaokoa wahamiaji hao baada ya kuona hitilafu katika mashua yao wakiwa safariini  kuelekea barani Ulaya.

Kikosi hicho cha wanamaji kimefahamisha kuwa  maboti mawili ya plastiki yaliyotaka kuzama yalikuwa na wanawake 44 na watoto 7.

Raia wawili kutoka Bangladesh pia walikuwa miongoni mwa wahamiaji hao.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za Afrika punde zinapojiri.
WAHAMIAJI HARAMU 237 WAOKOLEWA KATIKA FUKWE ZA LIBYA WAHAMIAJI HARAMU 237 WAOKOLEWA KATIKA FUKWE ZA LIBYA Reviewed by By News Reporter on 3/11/2018 09:20:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.