Loading...

RIHANNA AVUNJA REKODI YA KUSIKILIZWA NA WATU ZAIDI YA BILIONI 2 MTANDAO WA APPLE MUSIC

Loading...
Rihanna amekuwa mwimbaji wa kike wa kwanza kufikisha wasikilizaji bilioni 2 katika mtandao wa muziki wa Apple.

Mtandao huo mkubwa wa usikilizaji nyimbo kwa mtandao ulitangaza orodha ya wasanii/waimbaji wa kike 20 bora waliosikilizwa sana na Rihanna aliongoza na kukaa kileleni, akifuatiwa na kidogo na msanii Taylor Swift, Beyonce, Ariana Grande na Adele.

Tazama orodha kamili hapa chini:-
20. Miley Cyrus 
19. Little Mix
18. Mariah Carey 
17. Kehlani
16. Pink
15. Fifth Harmony
14. Demi Lovato
13. Halsey
12. Nicki Minaj 
11. Katy Perry 
10. Lady Gaga 
09. SZA
08. Selena Gomez
07. Lana Del Rey 
06. Sia
05. Adele 
04. Ariana Grande
03. Beyonce 
02. Taylor Swift 
01. Rihanna

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
RIHANNA AVUNJA REKODI YA KUSIKILIZWA NA WATU ZAIDI YA BILIONI 2 MTANDAO WA APPLE MUSIC RIHANNA AVUNJA REKODI YA KUSIKILIZWA NA WATU ZAIDI YA BILIONI 2 MTANDAO WA APPLE MUSIC Reviewed by By News Reporter on 3/12/2018 10:10:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.