Loading...

HATIMAYE RAIS TRUMP ATANGAZA KAULI MBIU YAKE UCHAGUZI 2020

Loading...
Ikiwa siku zinazidi kusogea kufikia uchaguzi wa urais Marekani wa awamu ya pili unaotarajiwa kufanyika mwaka 2020, Trump amezidi kuonyesha kujiandaa kikamilifu na uchaguzi huo kila mara akitangaza yatakayofanyika katika uchaguzi na jana ndipo alipoamua kutangaza kauli mbiu yake mpya.

Kipindi cha uchaguzi wa urais mwaka 2016, Donald Trump katika kampeni za uchaguzi alikuwa na kauli mbiu inayosema 'Ifanye Marekani kuwa kubwa tena' (MAGA).

Sasa rais Trump amekuja na kauli mbiu inayofanana na ile amepunguza neno 'tena' na sasa itasomeka 'Ifanye Marekani kuwa Kubwa'.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za ulimwengu punde zinapojiri.
HATIMAYE RAIS TRUMP ATANGAZA KAULI MBIU YAKE UCHAGUZI 2020 HATIMAYE RAIS TRUMP ATANGAZA KAULI MBIU YAKE UCHAGUZI 2020 Reviewed by By News Reporter on 3/12/2018 10:30:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.