Loading...

SABABU ILIYOMFANYA MREMBO TUNDA KUMUOMBA MSAMAHA AUNTY EZEKIEL

Loading...
Mrembo na video vixen Tunda, kupitia ukurasa wake wa instagram amefunguka na kumuomba msamaha Aunty Ezekiel akidai kumtukana mtoto wake na wakati na yeye ataitwa mama hivi karibuni haikuwa jambo la busara.

Miezi kadhaa iliyopita kupitia mtandao wa instagram wa Tunda alirushiana maneno na muigizaji huyo Aunty Ezekiel pamoja na mzazi mwenzake Mose Iyobo na kusemekana kuwa Tunda alishindwa kulipa deni alilokuwa akidaiwa na Aunty Ezekiel.

Jana Jumamosi, Tunda kupitia ukurasa wa Instagram alimuomba radhi Aunty Ezekiel akidai zilikuwa hasira na amsamehe, aliandika: "Let me take this opportunity kumuomba radhi Aunty kwa kumtukana mtoto wake ilikuwa ni hasira naomba msamaha kama mwanamke ambaye nitaitwa mama pia soon." Picha chini kwa ushahidi.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
SABABU ILIYOMFANYA MREMBO TUNDA KUMUOMBA MSAMAHA AUNTY EZEKIEL SABABU ILIYOMFANYA MREMBO TUNDA KUMUOMBA MSAMAHA AUNTY EZEKIEL Reviewed by By News Reporter on 3/11/2018 10:17:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.