Loading...

FAIDA KUMI (10) ZA KIAFYA ZINAZOTOKANA NA KUFANYA NGONO

Loading...
Nani anajua ngono inaweza kuwa muhimu kwa afya yako?

Kama baadhi watu hasa wanawake wanapendelea kutumia vipodozi mbali mbali na vidonge ili kufanya waonekane wasichana na wenye afya.

Na baadhi wanawekeza kiasi kikubwa cha pesa katika mwonekano kwa kununua manukato ya kuogea, kupata mafundisho ya urembo, kuwaona madaktari wa maswala ya ngozi, wataalam wa lishe hata waganga wa tiba za asili, na hata kufanya lolote kwa ajili ya kupata ngozi mwororo, nywele ndefu, kucha nzuri, kutengeneza maumbile, ngozi kuwa ang'avu n.k.

Bila kujua 'ngono' pekee inaweza ikasababisha ukawa mzuri na mwenye afya kila wakati. Ni wazi kuwa 'ngono' inakufanya ujisikie na utulivu moyoni na kupata hisia nzuri lakini pia inafaida kimwili.

Kwa kufanya mapenzi na mtu sahihi mara 2-3 kwa wiki, utaweza kupata faida nyingi za kiafya ambazo ungeweza kutumia gharama nyingi kulinganisha na urembo wa kununua.

Zifuatazo ni faida kumi (10) za kiafya ambazo utazipata kwa kufanya mapenzi:-

1. Kuimarika kwa kinga ya mwili
2. Kunafanya nywele kung'aa
3. Kunapunguza mawazo
4. Huongeza afya ya moyo
5. Kuimarisha kucha
6. Hutumika kupoza maumivu ya mwili
7. Inakusaidia kupunguza uzito wa mwili
8. Inapunguza hatari ya ugonjwa wa kansa
9. Husaidia kukupatia usingizi
10. Husaidia mtu kujitambua

Na Peter Godwin

Tuma neno 'MAPENZI' kwenda +255765112259 kupata habari za mapenzi punde zinapojiri.
FAIDA KUMI (10) ZA KIAFYA ZINAZOTOKANA NA KUFANYA NGONO FAIDA KUMI (10) ZA KIAFYA ZINAZOTOKANA NA KUFANYA NGONO Reviewed by By News Reporter on 3/20/2018 10:11:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.