Loading...

RAPPA RICK ROSS KUHUDHURIA TAMASHA KENYA ADAI YUPO SALAMA

Loading...
Wakati likifanyika tangazo katika onesho la uzinduzi wa albamu ya Diamond Platinumz kwamba rappa Rick Ross atakuja Kenya, wengi walishangazwa kwamba inawezekanaje na wakati alikuwa mahututi hospitalini.

Alipokutwa 'hajitambui' nyumbani kwake wiki mbili zilizopita, Rick Ross alifikishwa hospitalini kwa matibabu lakini mpaka kufikia Alhamisi aliruhusiwa na kurudi nyumbani - kwa mujibu wa post ya Instagram.

Na ndipo ilipotangazwa kuwa atahudhuria katika tamasha nchini Kenya, siku ya usiku wa Diamond kupitia Tv kubwa za video zikimuonyesha msanii huyo yupo salama na atafika kenya mwezi Aprili 28 katika onesho hilo.

Tamasha hilo litakalo fanyika Nairobi linatarijiwa kuhudhuriwa na wasanii wakubwa wa kimataifa kutoka kona kona zote za dunia, na litafanika katika viwanja vya Carnivore Aprili 28.
Na Neema Joshua.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
RAPPA RICK ROSS KUHUDHURIA TAMASHA KENYA ADAI YUPO SALAMA RAPPA RICK ROSS KUHUDHURIA TAMASHA KENYA ADAI YUPO SALAMA Reviewed by By News Reporter on 3/20/2018 10:36:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.