Loading...

TAMASHA LA MSANII RICK ROSS NCHINI KENYA TIKETI KUUZWA KUANZIA TSHS. 65 ELFU HADI LAKI 2

Loading...
Rappa Rick Ross anatarajiwa kuwasili mjini Nairobi, Kenya mapema mwezi Aprili. Rappa huyo mwanzilishi wa lebo ya muziki ya Maybach atakuwa nchini humo kwa ajili ya tamasha.

Tiketi kwa ajili ya tamasha hilo zitauzwa kuanzia Tshs. 65 elfu kwa watu wa kawaida na laki 2 kwa VIP.

Rappa huyo aliyejulikana kwa nyimbo kama I'm a boss na Sophisticated anatarajiwa kutuimbiza Aprili 28.

Itaandika historia kwa mara ya kwanza kwa msanii huyo kutembelea nchini Kenya ikiwa ni mara ya pili kutembelea Afrika Mashariki tangu alivyotumbuiza Tanzania miaka kadhaa kupita katika tamasha la Fiesta.
Na Geofrey Okechi.



Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
TAMASHA LA MSANII RICK ROSS NCHINI KENYA TIKETI KUUZWA KUANZIA TSHS. 65 ELFU HADI LAKI 2 TAMASHA LA MSANII RICK ROSS NCHINI KENYA TIKETI KUUZWA KUANZIA TSHS. 65 ELFU HADI LAKI 2 Reviewed by By News Reporter on 3/28/2018 11:21:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.