Loading...

UMBER ROSE AKANUSHA UVUMI KWAMBA AMEACHANA NA RAPPA SAVAGE

Loading...
Umber Rose, 34, ameamua kufunguka kuhusu uvumi wa yeye kuacha na mpenzi wake rappa Savage mwenye miaka 21 baada ya kutofuatana katika mtandao wa Instagram.

Kwa mujibu wa mwanamitindo, Umber ambaye alikuwa akitoka kimapenzi na rappa kwa zaidi ya mwaka sasa, bado awezi kusema yupo single kwa sababu wana matatizo kidogo na mpenzi wake lakini watayaweka mambo sawa.

Katika mahojiano na kipindi kimoja cha radio huko LA, Marekani, alidai bado anampenda mpenzi wake na hawajaachana ila wanaugomvi kati yao ila watayamaliza kwa sababu mapenzi yana milima na mabonde, kwa hiyo ni jambo la kawaida.
Na Alfredy Mbaningo.


Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
UMBER ROSE AKANUSHA UVUMI KWAMBA AMEACHANA NA RAPPA SAVAGE UMBER ROSE AKANUSHA UVUMI KWAMBA AMEACHANA NA RAPPA SAVAGE Reviewed by By News Reporter on 3/25/2018 11:01:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.