Loading...

UNAHITAJI MPANGO MKAKATI ILI KUFANIKISHA MALENGO YAKO - Na Siri ya Utajiri

Loading...
Watu wengi tunajisahau katika hili. Malengo yako huwezi kuyafanikisha kwa KUYAFIKIRIA na KUTAMANI kuyafikia tu. Lazima uwepo MPANGO mkakati wa utekelezaji unaoainisha HATUA ambazo utachukua kila siku kuhakikisha unafikia malengo yako.

Watu wanaofanikiwa ni wale ambao hutengeneza MPANGO wa kutekeleza malengo yao. Bila kuwa na mpango huu ni wazi kwamba utabaki na malengo ambayo HAYAJATEKELEZWA.

Ninaamini una MALENGO ambayo unatamani kuyafanikisha, leo tengeneza MPANGO MKAKATI wa kufuata kila siku ili kutekeleza malengo hayo.

You Deserve The Best!
Vicent Stephen

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
UNAHITAJI MPANGO MKAKATI ILI KUFANIKISHA MALENGO YAKO - Na Siri ya Utajiri UNAHITAJI MPANGO MKAKATI ILI KUFANIKISHA MALENGO YAKO - Na Siri ya Utajiri Reviewed by By News Reporter on 3/20/2018 12:19:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.