Loading...

USIPOTEZE MUDA WAKO KWA MASWALA YASIYO NA TIJA - Na Siri ya Utajiri

Loading...
Gazeti moja maarufu nchini Marekani lilifanya utafiti juu ya MATUMIZI ya MUDA kwa watendaji wakuu kumi na nane kutoka kampuni binafsi kumi na nne. 
Matokeo ya utafiti huu yalionesha kuwa watendaji hawa walitumia kwa wastani masaa MATANO na NUSU kwa kila siku kufanya mazungumuzo yasiyo na tija.

Baada ya utafiti huu ilihitimishwa kwamba watendaji hawa walikuwa na muda wa kutosha kukamilisha MALENGO yao lakini hawakuutumia MUDA huo kufanya hivyo.

Kila mmoja wetu ana MUDA wa kutosha KUFANIKISHA MALENGO yake, USIPOTEZE muda wako kwa masuala yasiyo na tija kwako. Kila SEKUNDE ni MUHIMU kwako, itumie kufanikisha malengo yako.

You Deserve The Best!
Vicent Stephen

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata makala za siri za utajiri punde zinapojiri.
USIPOTEZE MUDA WAKO KWA MASWALA YASIYO NA TIJA - Na Siri ya Utajiri USIPOTEZE MUDA WAKO KWA MASWALA YASIYO NA TIJA - Na Siri ya Utajiri Reviewed by By News Reporter on 3/09/2018 03:18:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.