Loading...

VIWANJA VYA BATA WEEKEND

Loading...
HAPPY HOUR
Lini: Ijumaa, Machi 9
Mahali: La Veranda Tapas Bar
Kwanini: Ni muda wa kuburudika na
washkaji zako baada ya kazi nzito
wiki nzima

FRIDAY NIGHT
Lini: Ijumaa, Machi 9
Mahali: High Spirit Lounge
Kwanini: Imetajwa kama kitivo cha
burudani katika jiji la kibiashara Tanzania

AKEMI LUNCH
Lini: Jumamosi, Machi 10
Mahali: Akemi Restaurant Dar es salaam
Kwanini: Ni muda wa kupumzika baada
ya wiki nzima katika mihangaiko na pata
cha kula cha jioni kwa pesa ndogo Tzs. 20k

SATURDAY EXPERIENCE
Lini: Jumamosi, Machi 10
Mahali: Mint Club Bukoba
Kwanini: Mint Club itakupa burudani katika pwani ya Ziwa Victoria

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za burudani punde zinapojiri.
VIWANJA VYA BATA WEEKEND VIWANJA VYA BATA WEEKEND Reviewed by By News Reporter on 3/09/2018 02:43:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.