Loading...

VIJANA KUTOKA ALGERIA WAPOTEA KATIKA SAFARI YA MATUMAINI KUELEKEA BARANI ULAYA

Loading...
Familia na wazazi nchini Algeria wabaki katika majonzi baada ya vijana wao kuanza safari yao ya ”matumaini” kuelekea barani Ulaya.

Kutokana na ukosefu wa ajira na kupoteza matumaini nchini Algeria, vijana nchini humo huchukuwa uamuzi wa kusafiri kinyume na sheria kwa kutumia maboti  na kuanza safari zao kuelekea barani Ulaya.

Wakiwa na matumaini ya maisha bora barani ulaya hujaribu kuvuka bahari ya Mediterania bila ya khofu.

Mmoja miongoni mwa wazazi ambao hawana taarifa kuhusu walipo watoto wao kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja  ameskitishwa na kutoeka kwa mwanae aliesafiri kwa kutumia boti na wenzie wakiwa na matumaini ya maisha bora barani Ulaya.

Vijana wengi barani Afrika hudhani kuwa Magharibi kuna maisha bora jambo ambalo huwapelekea kuwekeza ili kuhakikisha kuwa wanasafiri kwenda Ulaya.


Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za Afrika punde zinapojiri.
VIJANA KUTOKA ALGERIA WAPOTEA KATIKA SAFARI YA MATUMAINI KUELEKEA BARANI ULAYA VIJANA KUTOKA ALGERIA WAPOTEA KATIKA SAFARI YA MATUMAINI KUELEKEA BARANI ULAYA Reviewed by By News Reporter on 3/15/2018 11:14:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.