Loading...

MWANAFIZIKIA STEPHEN HAWKING AFARIKI DUNIA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 76

Loading...
Mwanafizikia Prof Stephen Hawking mwenye asili ya uingereza anefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76.

Mwanafizikia huyo anafahamika vema katika ulimwengu wa sayansi kwa kazi zake alizofanya kuhusu anga.

Mwanafizikia huyo  katika kazi zake na utafiti alifahamisha kuwa  angani  kuna mvutano  wa hali ya juu  kiasi kwamba mwanga hauwezi kujipenyeza.

Mwanafizikia huyo alizaliwa Januari 8 mwaka 1942 Oxford nchini Uingereza.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za ulimwengu punde zinapojiri.
MWANAFIZIKIA STEPHEN HAWKING AFARIKI DUNIA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 76 MWANAFIZIKIA STEPHEN HAWKING AFARIKI DUNIA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 76 Reviewed by By News Reporter on 3/15/2018 11:20:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.