Loading...

BREAKING NEWS: DIAMOND AKAMATWA NA POLISI KWA KUSAMBAZA PICHA ZA UTUPU

Loading...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe, amesema kuna baadhi ya wasanii ambao walianza kufanya uhuni ndani ya mitandao akiwemo mwanamuziki nyota, Diamond Platinumz,  ambaye tayari amekamatwa na polisi na anahojiwa kutokana na picha alizozungusha.
Pia Mwakyembe amesema imebidi mwanamuziki Faustina Charles ‘Nandy’ naye akamatwe kisha kuhojiwa na wanaangalia namna ya kuwapeleka mahakamani.

Mwakyembe ametoa wito kwa vijana kuwa mitandao si kokoro la kupeleka uchafu wote ambao umezuiwa na sheria na kwamba nchi ina utamaduni wake ambapo inahitajika kulinda kizazi cha sasa na cha kesho.
Na Catherine Kisese.



Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
BREAKING NEWS: DIAMOND AKAMATWA NA POLISI KWA KUSAMBAZA PICHA ZA UTUPU BREAKING NEWS: DIAMOND AKAMATWA NA POLISI KWA KUSAMBAZA PICHA ZA UTUPU Reviewed by By News Reporter on 4/17/2018 11:02:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.