Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa akimkaribisha Ikulu, Msaidizi Mpya wa Rais Dkt. John Magufuli, Kanali Mlunga ambaye amechukua nafasi ya Mbaraka Mkeremy aliyepandishwa cheo na kuwa Brigedia Jenerali.
Mkeremy, Msigwa na Mlunga katika picha ya pamoja.
PICHA ZA BODIGADI MPYA WA RAIS JPM
Reviewed by
By News Reporter
on
4/17/2018 10:48:00 AM
Rating:
5
Hakuna maoni: