Loading...

MWANAMUZIKI JOSE CHAMELEONE HATIMAYE AONYESHA SURA YA MWANAE 'XARAH'

Loading...
Msanii maarufu wa Uganda Jose Chameleone alifanikiwa kupata mtoto wake wa tano akiwa nchini Marekani.

Mwanamuziki huyo na mkewe walitangaza kuzaliwa kwa mtoto wao wa tano kupitia mtandao juma lililopita.

Baada ya siku kadhaaa kupita toka kutangaza ujio wa mtoto wao, Chameleone ameamua kutangaza rasmi picha za sura ya mwanae kupitia mtandao wa Instagram. Picha hizo zimezua gumzo katika mitandao ya kijamii kwa kutambulishwa kichanga hicho kwa jina anajulikana kwa Xarah Amani. 
Na Godwin Mbaningo.



Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
MWANAMUZIKI JOSE CHAMELEONE HATIMAYE AONYESHA SURA YA MWANAE 'XARAH' MWANAMUZIKI JOSE CHAMELEONE HATIMAYE AONYESHA SURA YA MWANAE 'XARAH' Reviewed by By News Reporter on 4/17/2018 10:27:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.