Loading...
MWANAMUZIKI maarufu wa nchini Kenya, Avril aliwasisimua wengi baada ya kutupia picha zake kwenye mitandao ya kijamii akionekana ni mjamzito.
Avril aliamua kuweka wazi kuwa anatarajia mtoto akionyesha yeye ni mjamzito ili kujibu ubashiri ambao ulifanywa na mashabiki zake kwamba huenda ana mimba au la.
Kutokana post za ujumbe zilizoonekana kupitia mitandao yake ya kijamii alisema kuwa nilikuwa nasubiri wakati unaofaa ili niweze kutangaza kuwa ni mjamzito na sio kulazimishwa na mtu yeyote ndio nifanye hivyo.
"Ningetangaza habari za ujauzito wangu wakati ufaao, sio kupitia kwa mtu yeyote ila kwangu mimi mwenyewe," Avril alisema.
Inaonekana Avril amekuwa na hamu ya kumsubiri sana mtoto wake kulingana na jumbe ambazo amekuwa akiandika kwenye mitandao ya kijamii.
Na Neema Bushubo.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.

NYOTA AVRIL AWEKA WAZI KUHUSU UJAUZITO WAKE
Reviewed by By News Reporter
on
4/17/2018 09:48:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: