Loading...
Winnie Mandela aliyekuwa mke wa kwanza wa Hayati Nelson Mandela aliyekuwa rais wa kwanza wa nchi ya Afrika Kusini amefariki dunia leo.
Winnie amefariki akiwa na miaka 81, baada ya kuumwa hospitalini kwa muda tangia mwaka huu umeanza. Enzi za uhai wake alikuwa mwanaharakati mkubwa aliyepinga ubaguzi wa rangi.
Familia yake ilithibitisha kwa umma taarifa za kifo chake mapema leo.
"Tunasema kwa pamoja, apumzike mahali pema peponi amen."
BREAKING NEWS:ALIYEKUWA MKE WA MANDELA 'WINNIE MANDELA' AFARIKI DUNIA
Reviewed by By News Reporter
on
4/02/2018 07:18:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: