Loading...
Wasanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Faustina Charles ‘Nandy’ wamehojiwa kwa saa mbili na Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA).
Wakizungumza mara baada ya kumaliza mahojiano hayo yaliyofanyika jana Aprili 19, wasanii hao wamesema wamejifunza mengi kuhusiana na masuala ya mitandao.
Diamond amesema: “Ujana ni maji ya moto tumeelimishwa, hatutarudia tena, nitakuwa balozi kwa vijana wenzangu kuhusu masuala ya mitandao.”
Nandy amesema: “Nisameheni kwa yaliyotokea. Hapa TCRA nimepata somo kuhusu mitandao, tukio lile halitajirudia tena.”
Na Fatma Pembe.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.

DIAMOND NA NANDY WATINGA TCRA, WAOMBA RADHI UMMA
Reviewed by By News Reporter
on
4/20/2018 09:09:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: