Loading...

HABARI ZA HIVI PUNDE: MASOGANGE AFARIKI DUNIA

Loading...

Video queen maarufu nchini, Agnes Gerald ‘Masogange’ amefariki dunia hivi punde (leo Aprili 20, 2018) katika Kituo cha Huduma za Afya cha Mama Ngoma, Mwenge jijini Dar es Salaam baada kuzidiwa ghafla jana na kukimbizwa hospitalini hapo.

Taarifa ambazo hazijathibitishwa, zinadai Masogange alifikishwa Hospitalini hapo akisumbuliwa na homa ya matumbo na tatizo la kupungukiwa na damu. Fuatilia blogu yako pendwa kupata taarifa kamili....

'Tunasema kwa pamoja, Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN'

HABARI ZA HIVI PUNDE: MASOGANGE AFARIKI DUNIA HABARI ZA HIVI PUNDE: MASOGANGE AFARIKI DUNIA Reviewed by By News Reporter on 4/20/2018 06:25:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.