Loading...
Serikali inawakaribisha katika maadhimisho ya miaka 54 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, yatakayofanyika katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma Aprili 26, 2018.
Kauli mbiu ya maadhimisho ya inasema: Muungano wetu ni wa mfano duniani, Tuuenzi, Tuulinde, Tuuimarishe na kuudumisha kwa maendeleo ya Taifa letu.
Mgeni rasmi ni rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli.
'Wananchi wote mnakaribishwa'
TAARIFA KWA UMMA: SERIKALI INAWAKARIBISHA WANANCHI WOTE KATIKA MAADHIMISHO YA 54 YA MUUNGANO
Reviewed by By News Reporter
on
4/20/2018 05:16:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: