Loading...
Waziri wa mambo ya nje wa Sudan Ibrahim Ghandur amefutwa kazi.
Katika taarifa iliyotolewa hivi punde ni kwamba rais Omer al-Bashir amemfuta kazi waziri wake wa mambo ya nje Ibrahim Ghandur.
Hata hivyo mpaka sasa hakuna maelezo kamili ya sababu kuu ya kufutwa kazi kwa waziri huyo.
Na Geofrey Okechi.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za Afrika punde zinapojiri.

HABARI ZA HIVI PUNDE: WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA SUDAN AFUTWA KAZI
Reviewed by By News Reporter
on
4/20/2018 02:01:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: