Loading...
FOOL MOON PARTY
Lini: Jumamosi, Aprili 28
Mahali: White Sands
Kwanini: Usiku utakaokupa muziki
murua, chakula na kampani ya
marafiki katika mahali salama
ON THE ROCKS
Lini: Ijumaa, Aprili 20
Mahali: High Spirit Lounge
Kwanini: Ni kiwanja kilichotunukiwa
kwa muziki maridadi, wenye usiku
wa vinywaji kwa gharama ndogo
WEEKEND GIG
Lini: Ijumaa, Aprili 20
Mahali: Mint Club, Bukoba
Kwanini: Ni kiwanja cha kupoza
uchovu baada ya kufanya kazi ngumu
kipindi cha wiki nzima, ukipata ladha
nzuri za muziki
CLUB LEGENDS
Lini: Ijumaa, Aprili 20
Mahali: Club Legend
Kwanini: Karibu upate ladha za muziki
wa zamani ukifurahi na madj wa zamani
kutoka Tanzania
Na Neema Joshua.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za burudani punde zinapojiri.
Lini: Jumamosi, Aprili 28
Mahali: White Sands
Kwanini: Usiku utakaokupa muziki
murua, chakula na kampani ya
marafiki katika mahali salama
ON THE ROCKS
Lini: Ijumaa, Aprili 20
Mahali: High Spirit Lounge
Kwanini: Ni kiwanja kilichotunukiwa
kwa muziki maridadi, wenye usiku
wa vinywaji kwa gharama ndogo
WEEKEND GIG
Lini: Ijumaa, Aprili 20
Mahali: Mint Club, Bukoba
Kwanini: Ni kiwanja cha kupoza
uchovu baada ya kufanya kazi ngumu
kipindi cha wiki nzima, ukipata ladha
nzuri za muziki
CLUB LEGENDS
Lini: Ijumaa, Aprili 20
Mahali: Club Legend
Kwanini: Karibu upate ladha za muziki
wa zamani ukifurahi na madj wa zamani
kutoka Tanzania
Na Neema Joshua.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za burudani punde zinapojiri.
VIWANJA VYA BATA WEEKEND
Reviewed by By News Reporter
on
4/20/2018 01:52:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: