Loading...
Mlipuko wa homa ya manjano umesababisha vifo vya zaidi ya watu 300 toka Julai 2017 nchini Brazil.
Kulingana na ripoti iliyotolewa na wizara ya afya ya Brazili ni kwamba ni kesi za homa ya manjano zaidi ya 1127 zimethibitishwa huku kukiwa na vifo takriban 330 toka mwezi June mwaka jana.
Jimbo la kusini mashariki mwa Minas Gerais ni eneo lililoathiriwa na homa hiyo kwa asilimia kubwa.
Watu 152 wameripotiwa kufariki huku wengine 480 wakiwa wanafanyiwa matibabu katika jimbo hilo.
Sao Paulo ni kesi 453 zimeripotiwa huku watu 134 wakwa wamepoteza maisha,Rio de Janeiro watu 63 wamefariki.
Na Fatma Pembe.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za Afya punde zinapojiri.

HOMA YA MANJANO YASABABISHA VIFO VYA MAMIA BRAZIL
Reviewed by By News Reporter
on
4/14/2018 06:19:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: