Loading...
Hivi sasa katika fasheni za wanaume kuna raba za kijanja zinazowika sana kwenye fasheni 2018, ni raba nzuri ambazo unaweza kuvaa kwa mtoko wa kawaida lakini hata kwa mtoko wa maana kwani bado utakuwa umependeza tu.
Aina ya rabani nyingi lakini ili kwenda na wakati angalia inayoendana na nguo zako, si lazima kufanana nguo zote lakini unaweza ukafananisha hata na shati tu au sketi na ukawa smati.Lakini pia unaweza kufananisha na soksi zako, si lazima nguo zote. Kwa kufanya hivyo bado ukitoka utaonekana umetokelezea kijanja. Ifuatayo ni picha ya raba hizo...
Na Geofrey Okechi.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mitindo punde zinapojiri.
HIZI NDIO RABA ZINAZO WIKA KATIKA FASHENI 2018
Reviewed by By News Reporter
on
4/14/2018 06:27:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: