Loading...
Mwimbaji mkongwe wa miondoko ya Afro-pop, Jose Chameleone wa nchini Uganda amejikuta akicheka kidosi baada ya kunyakua dili ya Ubalozi wa Kampuni ya vunywaji baridi ya Pepsi nchini Uganda.
Chameleone atajiunga na nyota wenzake barani Afrika kama Tiwa Savage, Wizkid ambao pia ni mabalozi wa kampuni ya Pepsi katika nchi zao. Dili hilo litampata mwimbaji huyo uwezo wa kufanya kazi za pamoja na wasanii wenzake wao iwakilisha kampuni hiyo.
Jose mapema ya mwaka huu pia alisaini dili ya ubalozi wa kampuni ya mchezo wa ubashiri ya PalBet.
Na Peter Godwin.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.

JOSE CHAMELEONE AKAMATA DILI YA UBALOZI WA PEPSI UGANDA
Reviewed by By News Reporter
on
4/11/2018 08:24:00 AM
Rating:
Reviewed by By News Reporter
on
4/11/2018 08:24:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: