Loading...

KAULI 11 UNAZOPASWA KUZIEPUKA ILI KUDUMISHA UHUSIANO WA KIMAPENZI

Loading...
Uhusiano wa kimapenzi huweza kuvunjika kwa sababu zisizoaminika, na wakati mwingine huweza kuvunjika kwa ajili ya hisia tu.

Wanaume na wanawake kiujumla hutamka kauli au manemo ambayo yanaweza kuwaudhi wenza wao pasipo kujua. Na kauli hizo huchukiza sana wapenzi hao na hata kuperekea kuvunjika kwa mahusiano yao.

Mfano wa kauli hizo ni kama:-

1. Unanipima kupita kiasi.
2. Unaniomba pesa kila saa kwani wewe ni 'Omba Omba'.
3. Unanuka jasho nunua marashi.
4. Watoto wako wanaudhi.
5. Unajifanya unajua sana.
6. Mumeo atakuwa na bahati mbaya.
7. Unatakiwa kuwa mpole, kwani baba yako ana gari mpaka mimi ninunue gari.
8. Chakula chako ni takataka.
9. Unavaa kama mshamba.
10. Mbona umenyoa nywele? unaonekana kama dume.
11. Usinijazie choo kama huwezi kunizalia.
Na Mohammed Makame.


Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mahusiano punde zinapojiri.
KAULI 11 UNAZOPASWA KUZIEPUKA ILI KUDUMISHA UHUSIANO WA KIMAPENZI KAULI 11 UNAZOPASWA KUZIEPUKA ILI KUDUMISHA UHUSIANO WA KIMAPENZI Reviewed by By News Reporter on 4/09/2018 06:30:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.