Loading...

JINSI BODA BODA ZINAVYOTUMIKA KUSAFIRISHA MAITI

Loading...
Kwa mujibu wa mtu mmoja raia wa Congo kupitia mtandao wa kijamii, alidai imeibuka njia mpya ya kusafirisha maiti kutoka nyumba za kuhifadhia maiti hadi mazikoni.

Maiti hizo zimekuwa zikisafirishwa kutumia pikipiki aina ya boda boda huku zikiwa zimevishwa mashuka mazito na kufungwa na mipira na kuwekwa katika viti vya abiria.

Je kama wewe ni boda boda ungeweza kufanya biashara hiyo? Toa maoni...
Na Peter Godwin.


Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za Afrika punde zinapojiri.
JINSI BODA BODA ZINAVYOTUMIKA KUSAFIRISHA MAITI JINSI BODA BODA ZINAVYOTUMIKA KUSAFIRISHA MAITI Reviewed by By News Reporter on 4/09/2018 06:12:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.