Loading...

MAKAMU WA RAIS AZINDUA CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI

Loading...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, jana Jumanne, Aprili 10, amezindua chanjo ya kukinga saratani ya mlango wa kizazi (HPV Vaccine), kwenye viwanja vya Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam.

Kinga hiyo itakuwa ni kwa wasichana kuanzia umri wa miaka 14 ambapo amesema itatolewa bila malipo na kwa mwaka huu itatolewa kwa wasichana 616,734. Picha na matukio...
Na Hamis Fakhi.


Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za kitaifa punde zinapojiri.
MAKAMU WA RAIS AZINDUA CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI MAKAMU WA RAIS AZINDUA CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI Reviewed by By News Reporter on 4/11/2018 12:04:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.