Loading...
MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amesema kwa amara nyingine tena, leo Aprili 11, 2018 kupitia ukurasa wake wa Instagram kwamba ataingia kwenye chumba cha upasuaji kwa ajili ya kufanyiwa oparesheni ya mguu wake wa kulia ambao bado una matatizo kutokana na risasi alizopigwa Septemba 7 mwaka jana nyumbani kwake, Area D, Dodoma.
Upasuaji huu utakuwa ni wa 20 tangu alipoanza kutibiwa, baada ya kushambuliwa kwa risasi mwaka jana.
Lissu ambaye yupo nchini Ubelgiji kwa matibabu amesema kwamba oparesheni hiyo ni sehemu ya tiba ya mguu huo huku akieleza kuwa kwenye mikono yuko salama kitabibu.
Na Geofrey Okechi.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za kitaifa punde zinapojiri.

TUNDULISU KUPASULIWA MGUU TENA NA KUTIMIZA OPERESHENI YA 20
Reviewed by By News Reporter
on
4/11/2018 11:54:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: