Loading...
Jamaa mmoja kwa jina halikujulikana amejikuta akibaki mpweke huku akijawa na majuto baada ya mpenzi wake kumtema siku chache kabla ya harusi.
Inadaiwa kuwa mwanaume huyo alikuwa anajitosheleza kifedha hata kuweza kumpata kiurahisi mwanamke huyo, na baadae aliamua kuandaa sherehe ya harusi mara tu baada ya kumposa na kumlipia mahali binti huyo.
Ila mrembo huyo alishangazwa na tabia moja ya jamaa huyo; hakuwahi kumkumbatia wala kumbusu hata siku moja licha ya kuwa faraghani mara kadhaa.
Mwanadada huyo alihisi huenda jamaa huyo hana tashtiti au msisimko naye aliamua kutafuta ushauri kwa rafiki zake ambao walimtaka amualike jamaa huyo kwake ili wajamiane.
Kulingana na taarifa zilizopatikana na mtu wa karibu wa msichana huyo, zilisema jamaa alipoalikwa kwa mwanamke huyo ili wajamiane na alipojaribu kumbusu, jamaa alikataa akisema kuwa tendo hilo si halali hadi baada ya kuoana rasmi.
Moja kwa moja msichana alimtema jamaa huyo akijua kuwa huenda jogoo apandi mtungi.
Wazazi, jamaa na marafiki walimshauri arudiane na mume huyo lakini alikataa kabisa huku akieleza ameshafanya maamuzi ya kuendelea mbele na maisha yake.
Haikubainika kama jamaa huyo alirudishiwa mahali yake au la.
Na Neema Joshua.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mahusiano punde zinapojiri.

ATEMWA NA MPENZI WAKE SIKU CHACHE KABLA YA HARUSI KISA USHAMBA
Reviewed by By News Reporter
on
4/11/2018 10:38:00 AM
Rating:
Reviewed by By News Reporter
on
4/11/2018 10:38:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: